Link to home pageLanguagesLink to all Bible versions on this site
Zaburi 117
Sifa Za Bwana
1 Msifuni Bwana, enyi mataifa yote;
mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2 Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,
uaminifu wa Bwana unadumu milele.
 
Msifuni Bwana.

<- Zaburi 116Zaburi 118 ->
  • Zaburi