isura ya na 2
1 Maana ibile yeyelusa moyo katika kristo. mana ibile falaja katika pendo lyake maana ibile kwina ushiika wa roho. mana ibile rehema na lusongo. 2 Mwikamilisho furha yango kwa panga mamope mubeupondo gumo, mubile mwabano katika riho na mubile nalikusudi limo. 3 kwa monge kwa ubinafsi na majivuno isipokuwa kwa linyenyekevu mwana mwabweni benge bora zaidi yinu. 4 Kila yumo winu kanaalinge baimahitaji gake binafsi, kae kwaajili mahitaji gabenge. 5 mubee nania kati ya bilenayo yesu kriisto. 6 Ingawa hwembe nisawa, na nnongo. Lakini ajalileli kolwa basanu na nnongo nikilebe sakamwana naso. 7 Badala yake atikwiuluya mwene. atweli umbo la maanda. atitike katika mfono wa binadamu. 8 Abonikine mwanadamu. Hwembe apeile lina lalipita kila lina. 9 Nyo basi nnongo atikumtukuzo sana. apale lina likolo lalipeta kila lina. 10 Apangitenya ilikwamba katika lina la yesu kila lijua sharti lijinamike. majua gagabile nakunani ya aridhi. 11 Naapangike nya ilikwamba kila lumi lukiri kwakwansa yesu kristo ni nngwana, kwa utukufu wa nnongo tate. 12 Kwanyo basi, mwapendwa bango kati mwanutii masobagoti, situ katika obile wongo lakini sasa ni zaidi sana hata pange baa ubone kiniwango, mwaajilibike uwokovu winu mwabene kwayogopa nalendene. 13 Kwa kuwa nnongo hwapanga kazi nkati yhinu ilikumwezesha kunia napanga mambo gagamendeza hwembe. 14 Mupange mambo goti bila malaamiko na mitau. 15 Mupange nyoilikwamba mube bweya wadamia, katika kibelekwe cha uhasi na wovu. 16 Mukamwe sana neo la ukolo ili kwamba ni benasababu yatukweza lisiba lya kristo. kisha natanga kwamba nibutwikeli lubilo bure wala mbalikeli taaba bure. 17 Lakini atakabanimimin akati sadaka juu ya dhabihu nahuduma ya imani yinu, nenda pulaika, na nenda pulaika namwenga mwabote. 18 Nyongo na mwenga kae mwenda pulaika pa mope nanae. 19 Lakini nenda tumaini katika nngwana yesukumtuma Timotheo kwinu hivi karibuni, ilikwamba niweze yeyelwa moyo panatanga mambo ginu. 20 Kwakua bileli nayhwenge mwenye nitazomo kati wake, mwene nia ya kweli waajiinu. 21 Benge bote nabatuma kwinu bapala mambo gabe binafsi bai, nasiyo mambo ya yesu kristo. 22 Lakini nitengite saniini yake, kwassababu kati mwana mwahudumiwa na tatebake, ngamwatunike pamope nane katika injili. 23 Kwaiyo nitumaini kumtuma haraka pinditu pana tanga kilegan chachapitya kwango. 24 Lakimitibile na haki katika nngana kwamba nenga namwne kae naisa hivikaribuni. 25 Lakini nitikiia ni muhimu kumkeleboya kwinu epatra dito. hwembe ni nongo wangu na mpanga kazi nyango na skari nyango, mjumbe namtumishi winu kwaajili ya mahitaji gango. 26 Kwa saababu abile nahofu na apendile banamwenga mwaboti, kwakuwa mwayone kwamba endeminya. 27 Maana hakika endeminya sana kiasi chawai. lakini nnongo amekile lwongo, na wema wabile kunami yake bai, lakini kae wabile kunami yango ilikwamba kananibe nahuzuri juu huzari 28 Kwanyo ninkeleboya kwinu haraka iwezekanavyo ilikwamba panwa mwanajabe mpate palaika nanenga niboilwe wasiwasi. 29 Mumkaribishe epakadila katika nngwana kwafuraha yote. mwaheshimu bandu kati hwembe. 30 Kwa kuwa yabile kwaajili ya kazi ya kristo akiribia waatarishe maisha gake ilikumiokoa nenga naapangite sibo ambacho mwakombwili panga katika kunihadumia nenga kwa mubile kutalu nane.
<- Wafilipi 1Wafilipi 3 ->
Wafilipi